Mzize siyo kufunga tu, Hadi kuimba anajua

Mzize siyo kufunga tu, Hadi kuimba anajua

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Yanga #ClementMzize ameonesha kuwa siyo kupiga chenga na kufunga tuu bali hadi kuimba yuko vizuri, hii inakuja baada ya kuonekana akiimba wimbo wa ‘Siachani Nawe’ wa mwanamuziki Baraka The Prince.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa ‘klabu’ hiyo wame-post video ya #Mzize akiimba baadhi ya mistari ya wimbo wa #Baraka akiwa katika viwanja vya #AvicTown wakati wa mazoezi.

Wimbo wa ‘Siachani Nawe’ kutoka kwa Baraka The Prince, uliachiwa rasmi mwaka 2015 ambapo mpaka kufikia sasa una zaidi ya watazamaji milioni 2.4 kupitia mtandao wa #YouTube wa #Baraka.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags