Whozu awapiga mkwara wanaumtumia ujumbe Wema

Whozu awapiga mkwara wanaumtumia ujumbe Wema

Mwanamuziki wa #BongoFleva, nchini #Whozu ametoa onyo kwa wanao mtongoza mpenzi wake #WemaSepetu kupitia akaunti yake ya Instagram na Snapchat.

Whozu ameyasema hayo kupitia mahojiano na moja ya chombo cha habari kwa kueleza kuwa anawafahamu watu wote wanaomtumia ujumbe wa kumtaka kimapenzi mpenzi wake huyo, lakini anaamua kuwaheshimu tu huku akidai kuwa yeye ndiyo huwa anawajibu Sms hizo.

Hata hivyo Whozu mesema kuwa hatoacha kujibu sms hizo mpaka pale watu hao watakapoamua kuacha kumtafuta Wema.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags