Super Eagles watunukiwa medali za heshima na Rais Tinubu

Super Eagles watunukiwa medali za heshima na Rais Tinubu

Baada ya ‘timu’ ya Taifa ya #Nigeria, maarufu kama #SuperEagles kuibuka mshindi wa pili katika michuano ya AFCON 2023, wametunukiwa medali za heshima na Rais wao Bola Tinubu siku ya jana Jumanne Februari 13.

Ukiachilia mbali kutunukiwa medali hizo wachezaji hao pia walipewa zawadi ya nyumba na kiwanja kwa kila mchezaji na ‘benchi’ la ufundi na Rais wa nchi hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags