Mwenye kucha ndefu, Aeleza jinsi anavyojisafisha akienda chooni

Mwenye kucha ndefu, Aeleza jinsi anavyojisafisha akienda chooni

#DianaArmstrong ambaye anashikilia rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi ameeleza jinsi gani anajisafisha wakati akiwa chooni.

Kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameweka wazi kuwa japo kuna changamoto kuwa hawezi kujisafisha kwa ufasaha kama watu wengine lakini, ameeleza kuwa huwa anafanya kazi kubwa wakati wa kujisafisha na huwa anatumia toilet paper nyingi kujisafisha anapokwenda chooni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post