NASA imenasa picha ya Miti ya Chrismas inayojulikana kitaalamu kama NGC 2264, iliyoko takribani miaka 2,500 kutoka Duniani. Muonekano wa miti hiyo inatokana na nyota ndogo na ...
Tetesi zinaeleza kuwa ‘klabu’ ya Paris Saint -Germain (PSG) inampango wa kumpa mkataba na kumfanyia vipimo vya Afya mchezaji wa ‘klabu’ ya #SaoPauloFC,...
Nchini India ukiwa mwizi sana unaitwa ‘Natwarlal’, kwa sababu ni jina la mwanaume mmoja kati ya wezi wakubwa kuwahi kutokea kwenye nchi hiyo.
Kwa mujibu wa t...
Mwanamuziki kutoka nchi Marekani, #KanyeWest kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2023 uanze leo ameweka post katika mtandao wake wa Instagram, upande wa insta story.
Ms...
Meneja wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp amethibitisha kuwa beki wao #KostasTsimikas atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kugongwa kwenye bega na win...
Baba wa aliyekuwa mwanamuziki marehemu #AmyWinehouse amewafungulia mashitaka marafiki wawili wa mtoto wake kwa kuuza mali za mwanaye kwa kutumia majina yao mwaka 2021.
&...
Msanii wa #Singeli #ManFongo aeleza kilichofanya akae kimya kwa muda mrefu huku akidai ni kufichwa na management yake mpya kwa ajili ya kujipanga kwa ujio mpya katika mu...
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa
Inaelezwa kuwa polisi walimf...
Mwanamuziki wa bongo fleva Jaymelody licha ya kupata pesa lakini ameweka wazi kuwa kwa upande wake maisha ni magumu na mabaya.Kupitia live yake ya siku ya jana kwenye ukurasa ...
Nguli wa soka kutoka Brazil Ronaldinho Gaúcho anatarajiwa kuuwasha moto na washiriki wengine 150 katika michuano ya Veteran Clubs World Championship.Ronaldinho ame-shar...
HAWA NDIYO WASANII WALIONYAKUA TUZO NYINGI MWAKA 2023Mwaka 2023, wapo baadhi ya wasanii ambao wanatamani mwaka huu uishe ili wajaribu tena mwakani lakini wapo waliobahatika ku...
Ikiwa mwaka 2023 unaeleke kuisha umekuwa wa neema kwa baadhi ya mabilionea ulimwenguni, ambapo utajiri wao umeongezeka kwa kiasi kikubwa.Wengi wao ni wale wanaojihusisha na ma...
Utafiti wa hivi majuzi uliochapishwa katika jarida la Afya unaeleza kuwa kulala zaidi siku za weekend kunaweza kuboresha afya ya moyo na mishipa, hasa kwa wale wanaolala chini...