Posh Queen ampeleka Harmonize kanisani

Posh Queen ampeleka Harmonize kanisani

Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #Harmonize na mpenzi wake #PoshyQueeen leo wameelekea Kanisani kwa ajili ya ibada ya Jumapili licha ya kuwa msanii huyo ni muumini wa dini ya Kislamu.

Kupitia #InstaStor yake Harmonize ame-share video wakiwa kwenye gari yeye na mpenzi wake wakielekea Kanisani huku akieleza kuwa ni mara yake ya kwanza kwenda Kanisani.

Hata hivyo ‘staa’ huyo amesema kuwa anaamini Binadamu wote wanaamini Mungu mmoja.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags