Asake apiga mkwanja mrefu Dubai

Asake apiga mkwanja mrefu Dubai

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Asake, anadaiwa kulipwa Euro 500K ambazo ni zaidi ya tsh 1.37 bilioni kwa ajili ya kutumbuiza kwenye onesho la la muziki ‘Untold’ nchini Dubai.

Inaelezwa kuwa msanii huyo alikuwa miongoni wa wasanii waliotumbuiza kwenye tamasha hilo la kimataifa lililofanyika kwa siku nne mfululizo kuanzia Februari 15 hadi 18.

Hata hivyo Untold linaonekana kuwa moja ya onesho kubwa zaidi la muziki kutokana na mafanikio ya mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia ya nchi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags