Mgahawa unaoendeshwa na roboti wafunguliwa

Mgahawa unaoendeshwa na roboti wafunguliwa

Imeripotiwa kuwa mgahawa wa kwanza duniani unaoendeshwa na roboti umefunguliwa jijini California nchini Marekani ambapo ‘roboti’ hufanya kazi ya kutaarisha baga, kukaanga chipsi na kuhudumia wateja.

Mgahawa huo uliopewa jina la ‘CaliExpress by Flippy’ unaweza kutazama jinsi chakula chako kinavyotengenezwa, na kutoa maelekezo ni namna gani chakula chako kinahitaji kiwe.

Mkurugenzi mtendaji wa mgahawa huo John Miller, kufuatiwa na mahojiano yake ameeleza kuwa mgahawa huo wa kwanza hufanya kila kitu na mashine kuanzia kupika adi kusambaza oda za wateja.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags