Cr7 achukizwa na mtoto wake kukataa kusalimia wachezaji

Cr7 achukizwa na mtoto wake kukataa kusalimia wachezaji

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Nassr, #CristianoRonaldo alikasirika baada ya mwanaye, Cristiano Ronaldo Junior, kukataa kusalimiana na wachezaji wengine wa ‘klabu’ hiyo wakati wa sherehe za ubingwa wa kikosi  cha Al-Nassr chini ya umri wa miaka 13 ambacho mtoto wake anatumikia.

Kwa mujibu wa Sky Sport News inaeleza kuwa kiakosi hicho cha ‘mastaa’ wa soka siku zijazo waliitwa kusherekea na kupewa heshima siku ya Jumamosi katika ‘mechi’ ya Saudi Pro League dhidi ya Al-Fateh.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags