Kocha Pep Guardiola amuomba radhi Phillips

Kocha Pep Guardiola amuomba radhi Phillips

‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #PepGuardiola amemuomba radhi mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ hiyo #KalvinPhillips kwa kusema kuwa kiungo huyo alikuwa mzito alipotoka kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Qatar 2022.

Kwa mujibu wa Sky Sport News imeeleza kuwa ‘kocha’ huyo alitoa maoni hayo mwezi Disemba mwaka 2022, akieleza ni kwa nini Phillips aliachwa nje ya kikosi chake katika ‘mechi’ ya raundi ya nne ya Kombe la Carabao dhidi ya #Liverpool.

Guardiola aliomba radhi siku ya jana Februari 19, wakati akiwa pamoja na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ambapo kwasasa anaitumikia ‘klabu’ ya #WestHam toka mwezi uliyopita.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags