Usher ndiye msanii wa kwanza kulipwa na NFL

Usher ndiye msanii wa kwanza kulipwa na NFL

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #UsherRaymond ameripotiwa kuwa ndiye msanii wa kwanza kulipwa na NFL ambapo alilipwa dola 671 sawa na tsh 1.7 milioni baada ya kutumbuiza kwenye fainali za Super Bowl zilizo fanyika siku ya Jumapili.

Kwa mujibu wa Daily Maily News inalezwa kuwa waanzilishi wa michuano hiyo #NFL huwa hawana utaratibu wa kumlipa msanii kufanya kufanya show bali huwa wanatoa pesa kwa ajili ya maandalizi ya onesho.

Hata hivyo baada ya onesho hilo inadaiwa kuwa Usher ametengeneza zaidi ya dola 100 milioni toka kwenye streaming, mauzo ya tiketi pamoja na madili mengine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags