Wema, Zari faida kwa Mondi

Wema, Zari faida kwa Mondi

Pamoja na yote Wema aliondoka kwenye mbavu za Mondi, huku akimuachia msela faida nyingi zaidi, alimpa umaarufu mkubwa. Kama hiyo haitoshi akampa na Kiingereza juu, msela akaanza kuwasiliana kimataifa. Hili la Kiingereza Mondi mwenyewe alishakiri mara kadhaa. Yes! Wema anahusika.

Lakini pia Zari, hajamuacha msela bure. Picha linaanza kampa Mondi heshima ya ubaba, kwa kumuachia uzazi wa watoto wake wawili na kuwatuliza wale wote waliosema mchizi mgumba. Zari ndiyo mwanamke wa kwanza ambaye aliamini katika maisha ndani ya Mondi. Hizo pisi zingine zilimzingua tu msela.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post