Harmonize asitisha show, Amuomboleza Lowassa

Harmonize asitisha show, Amuomboleza Lowassa

Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize amesitisha show kwaajili ya kuomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa.

Kupitia #Instastor yake Harmonize ameandika ujumbe huo akieleza kuwa ataungana na Taifa zima kuomboleza msiba huo pia kusitisha tamasha ambalo lilitarajiwa kufanyika leo katika viwanja vya Mbagala Zakhem.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags