Usher aweka rekodi super bowl show

Usher aweka rekodi super bowl show

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Usher ameka rekodi kupita Show yake alio ifanya siku ya Jumapili katika Fainali za Super Bowl LVIII ndio show iliyotazamwa zaidi Kwenye historia ya Super Bowl Halftime Show.

Kwa mujibu wa TMZ inaelezwa kuwa onesho hilo ilitazamwa na watu zaidi ya Milioni 123, rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na Rihanna ambapo mwaka jana alifikisha watazamaji Milioni 121,017,000.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post