Mchezaji wa Urusi kwenda Jela miaka 24

Mchezaji wa Urusi kwenda Jela miaka 24

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #SpartakMoscow kutoka nchini Urusi, #QuincyPromes, amehukumiwa kwenda Gerezani miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya uuzaji wa dawa za kulevya siku ya jana Jumatano nchini Uholanzi.

Ukiachilia mbali kutumikia kifungo cha miaka 6, kwa mujibu wa Sky Sport News imeeleza kuwa pia mwanasoka huyo anakabiliwa na mashitaka mengine ya kumpiga na chuma binamu yake mwaka 2020 ambapo pia amehukumiwa miaka 18.

Hivyo basi huenda Promes akatumikia jumla ya miaka 24 jela, lakini kwa mujibu wa wanasheria wake wameeleza kuwa mchezaji huyo anampango wa kukata rufaa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags