Usher aposti picha za harusi yake

Usher aposti picha za harusi yake

Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Usher kudaiwa kufunga ndoa, hatimaye mwanamuziki huyo amelithibitisha hilo kwa ku-posti picha zake za harusi akiwa na mkewe Jennife Goicoechea.

Usher kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share picha hizo huku akiweka wazi kuwa kweli alifunga ndoa Februari, 11 mwaka huu, ambapo ndoa hiyo aliifunga masaa machache baada ya kumaliza kutumbuiza katika fainali za ‘Super Bowl’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags