Avuruga mipango ya wapendanao siku ya Valentine

Avuruga mipango ya wapendanao siku ya Valentine

Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina lake kutoka nchini China amefuvuruga mipango ya wapendanao katika sikukuu ya Valentine, Februari 14, baada ya kuwakataza kuketi pamoja kwenye ukumbi wa sinema.

Hii ilitokea baada ya mwanaume huyo kudaiwa kukatwa tamaa na siku hiyo ndipo akaamua kuchukua jukumu la kununua viti vyote ambavyo watu huweza kukaa pamoja katika ukumbi wa sinema wa Xintiandi uliopo jijini Shanghai.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags