Bobak azindua miwani inayotambua bei ya bidhaa

Bobak azindua miwani inayotambua bei ya bidhaa

Aliyekuwa kiongozi wa kampuni ya #Apple, Bobak Tavangar, ambaye kwasasa ni CEO wa Brilliant Labs amezindua miwani inayoweza kutafsiri lugha, kutambua unachokitazama na kukuwezesha kuperuzi katika tovuti mbalimbali za bidhaa na kukutajia bei pia.

Miwani hiyo iliyopewa jina la ‘Multimodal AI Glasses’ inatarajiwa kuanza kuingia sokoni Aprili 15, 2024 ikigharimu dola 349 ambazo ni zaidi ya tsh laki Nane.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags