Cardi B na Offset waonekanapamoja Valentine day

Cardi B na Offset waonekanapamoja Valentine day

Licha ya wawili hao kutangaza kuachana Novemba 2023, lakini bado wameendelea kukutana katika baadhi ya matukio muhimu ikiwemo sikukuu ya Krismass, na sasa ‘rapa’ Cardi B na aliyekuwa mumewe Offset wameonekana tena wakiwa pamoja katika siku ya Wapendanao.

Imeelezwa kuwa wawili hao walionekana wakitoka katika mgahawa ulioko jijini Miami, nchini Marekani. Lakini mpaka kufikia sasa Cardi na Offset hawajatoa taarifa yoyote ya kama wamerudiana tena.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags