Haller apokelewa kwa shangwe na wachezaji wa Dortmund

Haller apokelewa kwa shangwe na wachezaji wa Dortmund

Baada ya kukamilisha kibarua cha kuitumikia ‘timu’ yake ya Taifa ya Ivory Coast, katika michuano ya #Afcon2023 mchezaji wa ‘klabu’ ya Borussian Dortmund Sebastien Haller amerudi katika ‘timu’ yake hiyo siku ya jana Alhamis Februari 15 na kupokelewa kwa shangwe na wachezaji wenzie.

Shangwe hilo linakuja baada ya Haller kuipa ubingwa ‘timu’ yake ya taifa ya Tembo baada ya kuichapa Timu ya Taifa ya Nigeria mabao 2-1, katika fainali iliyochezwa siku ya Jumapili Februari 11.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags