Chriss Brown awajia juu wanaomsema vibaya

Chriss Brown awajia juu wanaomsema vibaya

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown amewajia juu baadhi ya watu ambao wamekuwa wakimkosoa na kumshushia heshima yake katika jamii.

Suala hilo linakuja baada ya msanii huyo kukosana na wamiliki wa NBA baada ya kumfutia mualiko wa kuhudhuria kwenye NBA All Celebrities, ambapo wadhamini wa mashindao hayo walikataa msanii huyo kuhudhuria kutokana na historia yake.

Breezy kupitia instastory yake ame-share ujumbe uliokuwa ukieleza “Watu wanaoendelea kunitendea mabaya watajifunza kuacha kufanya hivyo kwa kupitia njia ngumu”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags