Messi ndiye mwanasoka anayependwa zaidi Marekani

Messi ndiye mwanasoka anayependwa zaidi Marekani

Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina na ‘klabu’ ya Inter Miami Lionel Messi anatajwa kuwa ndiye mwana-soka anayefuatiliwa na kupendwa zaidi nchini Marekani.

Kwa mujibu wa ‘Sports Poll’, imeeleza kuwa Messi ndiye mwanasoka wa kwanza kushika nafasi ya kwanza kwa robo ya mwaka ndani ya miaka 30 kwa kuwa mwanasoka anayependwa na kukubalika zaidi nchini humo.

Nyota wengine ambao wanakubalika zaidi nchini Marekani ni pamoja na Michael Jordan, LeBron James, Tom Brady, Tiger Woods, Kobe Bryant na wengineo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags