Bess ashinda tuzo ya kocha bora 2024

Bess ashinda tuzo ya kocha bora 2024

‘Kocha’ mwenye umri mdogo zaidi wa mchezo wa kikapu aitwaye Christopher Bess (6) ameshida Tuzo ya ‘Kocha’ bora mwaka 2024, baada ya ‘timu’ anayoiongoza ya Tarboro High School kuwa na mafanikio makubwa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bess ame-share video iliyokuwa na ujumbe ukieleza amekuwa ‘kocha’ bora wa mwaka 2024, huku wadau mbali mbali wa mpira wa kikapu wakijitokeza kumpongeza mtoto huyo kupitia upande wa ‘komenti’.

Bess huenda akawa tishio hapo baadaye katika NBA kutokana na uwezo, umakini na kipaji alichonacho.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags