Waziri Nchemba kama Pacome

Waziri Nchemba kama Pacome

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameachia picha kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na breach kichwani akijiandaa na ‘Pacome Day’ mchezo unaotarajiwa kuchezwa siku ya kesho Februari 24 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Yanga atakuwa kibaruani katika michuano ya ‘klabu’ bingwa Africa ambapo watakipiga dhidi ya CR Belouizdad, ambapo ‘timu’ hiyo ya Yanga imeeita siku hiyo ‘Pacome Day’ huku mashabiki na wadau wa mpira wa miguu wakiweka breach kama mchezaji huyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags