Jada ataka binti yake apate mahusiano kama yake

Jada ataka binti yake apate mahusiano kama yake

Muigizaji na mwandishi Jada Smith ameweka wazi kuwa anatamani binti yake Willow Smith apate mahusiano yanaayofanana na yake, yeye na mumewe Will Smith.

Jada ameyasema hayo wakati alipokuwa katika mahojiano na podcast ya #PrettSmart ambapo amedai kuwa binti yake kuwa na mahusiano kama yake itamjenga kuwa mwanamke halisi kama alivyo yeye sasa, lakini haimaanishi avumilie mambo yasiyofaa.

Ikumbukwe kuwa mwishoni mwa mwaka jana Jada aliweka wazi kuwa ametengena na mumewe muigizaji Will Simth takribani miaka 7 iliyopita lakini wanaendelea kuishi pamoja kutokana na upendo walionao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags