Waendesha mashitaka wataka Alves aongezewe adhabu

Waendesha mashitaka wataka Alves aongezewe adhabu

Waendesha mashitaka kutoka nchini Uhispania ambao walikuwa wakisimamia kesi ya nyota wa zamani wa Brazil, Dani Alves wanataka mchezaji huyo aongezewe adhabu ya kifungo, huku wakidai kuwa adhabu hiyo aliyopewa ni ndogo.

Waendesha mashitaka hao wanampango wa kwenda kukata rufaa ili nyota huyo aongezewe kifungo kiwe kuanzia 9 hadi 12.

Wiki mbili zilizopita Dani alisomewa hukumu nchini Uhispania baada ya kukutwa na hatia ya unyanyasaji wa kingono, ambapo kwasasa anatumikia kifungo cha miaka minne na miezi sita.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags