Kizz Daniel athibitisha kuwa ameoa

Kizz Daniel athibitisha kuwa ameoa

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameweka wazi kuwa yupo kwenye ndoa kwa miaka minne sasa.

Kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) alithibitisha hilo baada ya shabiki wa kike ambaye alidai kuwa ndoa ya msanii huyo haitadumu ambapo Kizz alieleza kuwa yupo kwenye ndoa tangu 2020 na hawezi kumuacha mke wake kutokana na anavyomvumilia kwa tabia zake mbaya.

Hata hivyo kupitia ukurasa wa Instagram wa Kizz amebadirisha profile yake na kumuweka mkewe huyo pamoja na mtoto wao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags