Na Sute Kamwelwe
Wakati teknolojia ikizidi kukua siku hadi siku kampuni ya tajiri nambari mbili duniani Elon Musk iitwayo Neuralink imesema imefanikiwa kupandikiza kifaa...
Na Aisha Lungato
Ni matumaini yangu wazima wa afya, so tunandelea pale tulipoishia siku hizi waswahili tunasema hakuna kupumzuka, mpaka watuite matajiri, leo katika bias...
Hatimaye Dj Misso Misondo na wazee wa makoti wamefika kwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown.
Hii ni baada ya nyota huyo wa muziki ku-share video ya wazee wa makot...
Baada ya watumiaji wa simu za Iphone kushindwa kupakuwa (download) application mbalimbali nje ya App Store, hatimaye kampuni ya simu hizo imefanya mabadiliko.
Kampuni ya Apple...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #ChriseanRock amechora usoni tattoo yenye sura ya ex wake na mzazi mwenziye #Blueface ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, ka...
RAMADHAN ELIAS
KOLABO la Diamond Putnumz na Mr Blue ndio habari ya mjini kwa sasa. Wimbo ni 'Mapozi' humo ndani akiwemo pia Jay Melody. Inabamba kinoma huko kitaa.
Gemu ya Hip...
Kama kuna wasanii wengine wa Bongo Fleva wanaandikiwa nyimbo na kuzitendea haki, basi Nandy ni namba moja, hadi sasa ameandikiwa nyimbo zaidi ya 10 na wasanii wenzake zaidi ya...
Anaandika sana. Sioni mwenye uwezo huo kwa kizazi hiki. Anaandika mpaka kuandika kunamshangaa. Msikilize kwenye “Bakhressa”, “Kama Unamjua” ama rudi kw...
Tatizo ni kwamba kuna Diamond na kuna Naseeb. Lakini wasaidizi wa Diamond wanafanya kazi za Naseeb zaidi badala ya kufanya kazi za Diamond Platinumz. Fuatilia kwa makini, anac...
Beki wa pembeni wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker amekiri kumsaliti mkewe #AnnieKilner kwa kuzaa mtoto wa kike kwa siri nje ya ndoa.
Kyle mwenye umri wa mi...
Imezoeleka kuwa watu wengi wakipata pesa hubadili mienendo yao, na aina ya maisha waliyokuwa wakiishi mwanzo, lakini hii ni tofauti kwa Jeff Bezos, mwanzilishi wa kampuni ya A...
Kampuni ya teknelojia kutoka nchini China, ‘Betavolt’ kwa mara ya kwanza imetengeneza ‘betri’ kwa ajili ya simu janja ambazo zitakuwa zikidumu na chaji...