India yazundua roboti wa kwanza mwalimu

India yazundua roboti wa kwanza mwalimu

Kampuni ya Makerlabs Edutech imezindua roboti wa kwanza mwalimu aitwaye Iris ambaye atafundisha katika shule ya Kerala, pamoja na Shule ya Sekondari ya Juu ya KTCT, Thiruvanathpuram nchini India.

Mwalimu huyo wakike ambaye anapata usaidizi kutoka kwa AI atawafundisha wanafunzi masomo mbalimbali kwani kwasasa anazungumza lugha tatu lakini wataalamu wanampango wa kupanua uwezo wake ili aweze kuzungumza lugha hata 20 kwa ajili ya kuwafunza wanafunzi lugha tofauti.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags