Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles katika milima ya Hollywood, na sasa taarifa rasmi ...
Kampuni inayoongoza kwa usambazaji wa biashara ya muziki duniani 'Universal Music Group' imetangaza kuahirisha baadhi ya matukio yaliyopangwa kufanyika usiku wa tuzo za Grammy...
Msanii Harmonize amelazimika kuhairisha show yake iliyopewa jina la ‘Tukaijaze Nangwanda’ iliyotarajiwa kufanyika Januari Mosi 2025 katika viwanja vya Nangwanda mk...
Baada ya mashabiki kukerwa na Usher kuhusiana na tamko lake la kuhairisha show kwa lengo la kupumzika, hatimaye msanii huyo amefunguka sababu kuu iliyomfanya ahairishe show hi...
Mwanamuziki wa Marekani Usher Raymond ametaja sababu ya kuhairisha ziara yake ya kidunia ya ‘Past, Present, Future’ aliyotakiwa kuifanyika jana Jumatatu jijini Atl...
Waswahili husema kuishi kwingi, kuona mengi, pasi na shaka kauli hii inaendana na maajabu ya mti unaotiririsha maji.
Wengi wamezoea kuona miti ikipandwa, ikikua, ikikauka na m...
Kampuni ya Makerlabs Edutech imezindua roboti wa kwanza mwalimu aitwaye Iris ambaye atafundisha katika shule ya Kerala, pamoja na Shule ya Sekondari ya Juu ya KTCT, Thiruvanat...
Mfanyabiashara na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Iris Apfel, ambaye anajulikana zaidi kupitia ubunifu wake wa mavazi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 102.Taarifa ya k...
Party iliyokuwa ikifanyika siku moja kabla ya Tuzo za #Grammy ambayo ilikuwa ikiongozwa na #Jay-Z na Roc Nation kwa lengo la kuwakutanisha ma-staa mbalimbali haitofanyika mwak...
‘Mechi’ kati ya ‘timu’ ya vijana wanawake #InyemeraWFC na #RamburaWFC nchini Rwanda imeghairishwa baada ya radi kupiga katika uwanja wa Gicumbi na kusa...
Chuo cha École Polytechnique Fédérale de Lausanne, kilichopo Uswizi kivumbua solar Panel za kuangaza zenye muonekano wa kioo.Lengo la kuvumbua aina hii ya...
‘Mechi’ kati ya Granada na Athletic Club imeahirishwa baada ya shabiki mmoja kufariki uwanjani wakati mchezo huo ukiendelea katika uwanja wa Nuevo Los Carmenes sik...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege itakayotumika kuwasafirisha wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa (Taifa Stars) kwenda Nchini Morocco ambapo watacheza na ‘timu&...