Wizkid aukataa muziki wa Afrobeat

Wizkid aukataa muziki wa Afrobeat


Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Wizkid ameukataa muziki wa #Afrobeat kwa kudai kuwa yeye siyo msanii wa Afrobeat huku akipiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini humo kuposti album yake.

Wizkid kupitia instastory yake ame-share ujumbe akieleza kuwa album yake mpya tayari imekamilika na itatoka hivi karibuni, lakini hataki mashabiki wamuite msanii wa Afrobeat huku akitilia mkazo kuwa hataki album yake hiyo kupostiwa na media pamoja na blog za Nigeria.

Muziki wa #Afrobeat au kwa jina lingine ‘Afrofunk’ ni aina ya muziki wa Kinaigeria ambao unahusisha mchanganyiko wa mitindo ya muziki wa kitamaduni wa #Kiyoruba na #Igbo


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post