Card B: mapenzi kusaidiana

Card B: mapenzi kusaidiana

‘Rapa; Cardi B ameonekana kuwa mwanamke wa tofauti zaidi ya watu wanavyomfikiria baada ya kueleza kuwa yeye hayupo upande wa wanawake ambao wanawategemea wapenzi na wenzi wao kwenye kughalamikia kila kitu pindi wawapo kwenye mahusiano.

#Cardi kupitia video yake inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa yeye haamini kuwa mwanaume ndio anajukumu la kuhudumia kila kitu kinyume chake yeye anaamini kwenye usawa 50/50 yaani mwanamke naye aweze kuchangia chochote katika mahitaji akiwa kwenye mahusiano.

Vipi unaungana na #CardiB kwenye hili? .
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post