Tyla aachia kionjo cha ngoma yake mpya

Tyla aachia kionjo cha ngoma yake mpya

Mwanamuziki kutoka South Africa, Tyla ameachia kionjo cha ngoma yake mpya ambayo itakuwa katika album yake inayotarajiwa kutoka Ijumaa ya tarehe 22 mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share kionjo hicho cha wimbo uliopewa jina la A.R.T, na kuweka wazi kuwa ni track namba 10 katika album yake hiyo.

Hata hivyo Mwanadada huyo ambaye alijulikana zaidi kupitia wimbo wake wa ‘Water’ wiki moja iliyopita alighairisha ziara yake ya dunia kutokana na maumivu katika jeraha alilonalo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags