The Batman part II, kuachiwa mwaka 2026

The Batman part II, kuachiwa mwaka 2026

Warner Bros ambayo ni studio ya filamu na burudani nchini Kimarekani imetoa ratiba mpya ya kuachiwa kwa filamu ya The Batman Part II.

Ratiba hiyo inaeleza kuwa filamu hiyo inatarajiwa kuoneshwa kwenye kumbi za sinema tarehe 2 Oktoba 2026, itakuwa ni muendelezo wake, ambao umekuja baada ya miaka minne tangu The Batman Part ya mwisho kuachiwa March 2022.

Mwongozaji wa filamu hiyo ni Matt Reeves, kati ya waigizaji wa filamu hiyo ni Jeffrey Wright, Robert Pattinson, Bruce Wayne, Andy Serkis, Zoë Kravitz na Lady Gaga


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post