Usaliti haukuvunja penzi la Shakira na Pique

Usaliti haukuvunja penzi la Shakira na Pique

Mwanamuziki kutoka nchini Colombia Shakira amekanusha uvumi unaodai kuwa aliachana na aliyekuwa mpenzi wake, mwanasoka Pique kwa sababu ya usaliti.

Kupitia mahojiano yake na #TheSundayTimes, Shakira alikanusha uvumi huo na kudai vipo vingi ambavyo vilifanya waachane.

Shakira alikutana na beki wa Barcelona alipokuwa akitangaza wimbo wake wa Kombe la Dunia la 2010, ‘Waka Waka’ wawili hao waliachana rasmi mwaka 2022 wakiwa wamedumu kwa miaka 11 katika uhusiano wao, ambapo pia walibahatika kupata watoto wawili Milan (11) pamoja na Sasha (9).






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags