Jengo lililojengwa kwa zaidi ya miaka 140 kukamilika 2026

Jengo lililojengwa kwa zaidi ya miaka 140 kukamilika 2026

Jengo maarufu la Kanisa liitwalo ‘Basilica La Sagrada Familia’ lililopo jijini Barcelona nchini Uhispania linatarajiwa kukamilika rasmi mwaka 2026 baada ya kujengwa kwa zaidi ya miaka 140.

Jengo hilo ambalo lilianza kujengwa 1882 kwa kutumia muundo ulioongozwa na mbunifu mashuhuri Antoni Gaudí, wa ‘Chapel of the Assumption’ unatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwaka 2026 huku likitajwa kuwa ndiyo kanisa refu zaidi ulimwenguni likilipiku la ‘Ulm Minster’ kutoka nchini Ujerumani.

Licha ya usumbufu kama vile Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Uhispania iliyosababisha uharibifu jijini hapo, lakini mradi huo ulidumu, ukimheshimu mbunifu ambaye kaburi lake liko chini ya jengo hilo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags