Jobe agombaniwa Ulaya

Jobe agombaniwa Ulaya

Kiungo wa ‘klabu’ ya #Sunderland, Jobe Samuel Bellingham agombaniwa na ‘vilabu’ kadhaa barani Ulaya ikiwemo #Chelsea na #TottenhamHotspur kwa ajili ya msimu ujao.

Pia ‘vilabu’ kutoka nchini Italia, Juventus, Inter Milan na AC Milan vimeripotiwa kuwa kwenye mbio za kuinasa saini ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18 raia wa Uingereza.

Jobe ameonekana kuonesha ubora na kuleta mafanikio makubwa msimu huu tangu ajiunge na team ya #Sunderland mwaka jana
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags