Harmonize ahamia kwenye ndondi

Harmonize ahamia kwenye ndondi

Mwanamuziki kwa wa Bongo Fleva nchini Harmonize amedai kuwa anataka kuionesha jamii kipaji chake kingine katika upande wa upiganaji (Ndondi).

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize ameweka wazi kuwa ushindani kwenye muziki umepungua huku akidai kuwa nguvu nyingi zimehamia kwenye media hivyo basi kwa upande wake anataka kuonesha kitu tofauti ambapo amejipanga kugeukia kwenye mchezo wa Ndondi.

Harmonize amedai kuwa anataka kuonesha kipaji chake hicho kwa kuzichapa na bondia yoyote ambaye amewahi kushinda mkanda baada ya mwezi wa Ramadhani kuisha.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags