Burna Boy afikisha stream bilioni 1.1 Sportify

Burna Boy afikisha stream bilioni 1.1 Sportify

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #BurnaBoy ameendelea kuupiga mwingi kupitia mtandao wa Sportify na sasa ameripotiwa kufikisha zaidi ya stream bilioni 1.1 kupitia album yake ya ‘Love Damini’ iliyotoka mwaka 2022.

Hatua hiyo imepelekea Burna Boy kupendwa zaidi ya mashabiki wake nchini humo kutokana na kuendelea kuupeleka muziki wa Afrobeat Kimataifa.

Burna Boy anakuwa msanii wa pili nchini humo kufikia hatua hiyo, hapo awali staa aliyewahi kung’aa kupitia jukwaa hilo alikuwa Rema ambaye alifikisha stream zaidi ya billion 1 kupitia albamu yake ya ‘Rave & Roses’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags