Amorim kurithi mikoba ya Klopp

Amorim kurithi mikoba ya Klopp

‘Klabu’ ya #Liverpool imeripotiwa kuwa imefikia makubaliano ya awali na ‘kocha’ wa ‘klabu’ ya #SportingLisbon, #RubenAmorim kuchukua mikopa ya #JurgenKlopp ‘klabuni’ hapo kuanzia msimu ujao.

Kwa mujibu wa Sky Sport News imeeleza kuwa Amorim mwenye umri wa mika 39 raia wa Ureno tayari amekuwa kwenye mazungumzo na ‘klabu hiyo juu ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kutumikia ‘klabu’ hiyo.

Licha ya kuwepo na makubaliano hayo lakini bado Liverpoll haijatoa tamko lolote mpaka sasa kuhusiana na kuinasa saini ya ‘kocha’ huyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags