Muonekano wa mwigizaji Christian kwenye filamu mbalimbali

Muonekano wa mwigizaji Christian kwenye filamu mbalimbali

Ili filamu iwe na uhalisia ni lazima mwigizaji avae uhusika na kuufanya uwe maisha yake ya kila siku. Na hii ndiyo changamoto ambayo huwakuta baadhi ya waigizaji, lakini imekuwa tofauti kwa mwigizaji wa Marekani Christian Bale, ambaye hufanya kila njia kwa ajili ya kuvaa uhusika.

Ili kuweka uhalisia kwenye filamu, amekuwa akifanya mabadiliko ya mwili wake ili uendane na uhusika anaocheza, kama vile kupunguza na kuongeza uzito kupita kiasi.

Mabadiliko ya mwili ambayo amewahi kuyafanya yanaonekana katika baadhi ya filamu alizowahi kucheza. Kama vile kwenye filamu ya 'The Machinist' (2004) alikuwa na kilo 54, 'Vice' (2018) Kg 103, 'The Fighter'(2010) Kg 65, 'Batman Begins'(2005) Kg 100, 'The American Hustle' (2013) Kg 104, 'Ford V Ferrari'( 2019) Kg 70






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Christina Lucas


Latest Post

Latest Tags