Utafiti: Mitoko ya usiku kwa wanaume inapunguza matatizo ya afya ya akili

Utafiti: Mitoko ya usiku kwa wanaume inapunguza matatizo ya afya ya akili

Kwa mujibu wa utafiti wa mwanansaikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Oxford Dk. Robin Dunbar, unaeleza kuwa mitoko ya usiku ya wanaume watupu inapunguza matatizo ya afya ya akili.

Hata hivyo amedai kuwa mitoko hiyo hutoa nafasi kwa wanaume kubadilishana mambo mbalimbali, kufunguka kuhusu hisia, kuimarisha urafiki na kujenga mshikamano baina yao.

 

Vipi unakubaliana na hili?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post