Wanandoa waliopishana miaka 37 watarajia kupata mtoto

Wanandoa waliopishana miaka 37 watarajia kupata mtoto

Wandoa waliyopishana miaka 37 kutoka nchini Marekani Cheryl McGregor (63) na mume wake Quran McCain (26) wamezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni.

Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Mail News imeeleza kuwa katika hali ya kushangaza wawili hao wali-post video na picha kupitia mitandao yao ya kijamii wakidai siku si nyingi wanamkaribisha mwanafamilia mpya.

Quran alikutana kwa mara ya kwanza na mwanamama huyo alipokuwa na umri wa miaka 15, wakati wote wawili walikuwa wakifanya kazi katika kampuni ya chakula nchini humo na mwaka 2021 walifunga ndoa iliyo hudhuriwa na marafiki zao wawili.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post