Modric kuondoka Madrid

Modric kuondoka Madrid

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #LukaModric huwenda asionekane msimu ujao katika kikosi cha timu hiyo baada ya kuripotiwa kuwa Madrid haina mpango wa kumuongezea mkataba mpya.

Inaelezwa kuwa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 38 nafasi yake  atakabidhiwa #ArdaGuler (19) ambaye alijiunga na klabu hiyo mwaka 2023.

Modric ambaye ni raia wa Croatia nchi iliyopo bara la Ulaya alijiunga katika kikosi hicho Agost 27, 2012 akitokea katika ‘klabu’ ya #TottenhamHotspur.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags