Ronaldo hataki kupigiwa simu usiku

Ronaldo hataki kupigiwa simu usiku

Mchezaji wa ‘klabu’ kutoka Saudi Arabia ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo ameweka wazi kuwa hapendi kuongea na simu ifikapo saa nne au tano usiku huku akitaja sababu ni kwa ajili ya kuweka akili sawa na kupumzisha mwili wake.

CR7 kwenye moja ya mahojiano yake ya hivi karibuni amenukuliwa akieleza kuwa “Jambo moja muhimu, sizungumzi baada ya saa 10/11 usiku, Siongei na simu. Sipendi kuongea usiku kwa sababu ya kutuliza ubongo wangu, kwa hivyo, baada ya saa 10, usinipigie simu”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags