Nyota wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Al-Nassr, ameripotiwa kuwa huwenda akashiriki Kombe la Dunia mwaka 2030.Kwa mujibu ...
Staa wa soka dunia Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 900.
Ronaldo amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya jana kuifungia timu yake ya...
Ikiwa zimepita siku chache tangu tovuti mbalimbali kuorodhesha wanasoka wanaolipwa zaidi huku CR 7 akiongoza orodha hiyo na sasa umewekwa mkeka wa nyota wa michezo ambao wanam...
Komenti ya mchezaji wa ‘klabu’ ya #AlNassr Cristiano Ronaldo akimpongeza Kylian Mbappé kupitia mtandao wa Instagram yaweka rekodi ulimwenguni kwa kupata lik...
Baada ya kuachiwa kwa orodha ya wanasoka wanaolipwa zaidi, fahamu kuwa wapo nyota wengine wa michezo ambao wanaogoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao wa Instagram.Orodha h...
Michezo inaonekana kuendelea kuwanufaisha watu waliojikita kwenye tasnia hiyo. Katika kulithibitisha hilo jarida la Forbes limetoa orodha ya wanamichezo wanaolipwa zaidi dunia...
Mchezaji wa ‘klabu’ kutoka Saudi Arabia ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo ameweka wazi kuwa hapendi kuongea na simu ifikapo saa nne au tano usiku huku akitaja sababu ...
Mpenzi wa mchezaji Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez ameonesha kum-sapoti, na kumpa heshima mpenzi wake huyo kwa kuvalia vazi lililoandikwa jina la CR7 katika maonesho ya ...
Nyota wa ‘klabu’ ya Al Nassr FC kutoka Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo ameibuka kidedea kwa kushinda Tuzo ya Maradona kutoka Globe Soccer kama mfungaji bora kwa mw...
Baadhi ya watu maarufu duniani wamekuwa wakitamani na wengine kuwekeza kwenye umiliki wa ndege binafsi, wapo baadhi ya wanamuziki ambao tayari wanamikili vyombo hivyo vya usaf...
Nguli wa ‘soka’ kutoka nchini Portugal Cristiano Ronaldo amejikuta katika janga ambalo hakulitegemea baada ya vyombo vya habari nchini Iran kuripoti kuwa mchezaji ...
Mwalimu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kathryn Mayorga, aliyedai kubakwa na nguli wa ‘soka’ Cristiano Ronaldo amerudisha kesi hiyo tena mahakamani kwa leng...