Tuzo za Grammy awamu ya 67 kutolewa Februari 2025

Tuzo za Grammy awamu ya 67 kutolewa Februari 2025

Waandaaji wa tuzo kubwa za muziki za Grammy wametangaza tarehe rasmi ya ugawaji wa tuzo hizo awamu ya 67 kwa mwaka 2025.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram wameorodhesha tarehe mbalimbali kuanzia mwanzo mpaka mwisho ambapo tarehe ya kutaja wasanii watakaowania tuzo hizo ikiwa ni Novemba 8, 2024 huku tuzo zikitolewa Februari 2, 2025.

Ikumbukwe kuwa tuzo za Grammy awamu ya 66 zilitolewa Februari 5, 2024 ambapo ugawaji huo ulifanyika katika ukumbi wa Crypto.com Arena jijini Los Angeles.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags