Guardiola kocha bora wa mwaka 2023/24

Guardiola kocha bora wa mwaka 2023/24

Kocha wa ‘Klabu’ ya Manchester City, Pep Guardiola ametangazwa kuwa ‘kocha’ bora wa mwaka katika Ligi kuu ya Uingereza kwa mwaka 2023/2024.

Guardiola ametajwa kuwa Manager of the Season, baada ya kushinda michezo 28 kati ya 38 ya ‘ligi’ kuu Uingereza na kuifanya klabu hiyo kutwaa ubingwa msimu huu.

‘Kocha’ huyo ambaye alishawahi kukinoa kikosi cha Barcelone na Bayern Munich ameaibuka kidedea baada ya kuwapiku ma-kocha wenzie Jurgen Klopp (Liverpool), Mikel Arteta (Arsenal), Unai Emery (Aston Villa), na Andoni Iraola (Bournemouth).






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags