14
Kocha Guardiola Aachana Na Mke Wake
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manch...
22
Guardiola kocha bora wa mwaka 2023/24
Kocha wa ‘Klabu’ ya Manchester City, Pep Guardiola ametangazwa kuwa ‘kocha’ bora wa mwaka katika Ligi kuu ya Uingereza kwa mwaka 2023/2024.Guardiola am...
20
Kisa Klopp, Guardiola atoa machozi
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola jana alimwaga machozi baada ya kuulizwa swali kuhusu kuondoka kwa meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp.Klopp jana aliiongoza Liverpool kwe...
20
Kocha Pep Guardiola amuomba radhi Phillips
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #PepGuardiola amemuomba radhi mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ hiyo #KalvinPhillips kwa kusema kuwa kiun...
27
Pep adai kuwa atalala vizuri baada ya Klopp kusepa
‘Kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya Man city Pep Guardiola ameonesha kufurahi yake kwa kueleza kuwa sasa atapata usingi mzuri baada ya ‘kocha’ wa #L...
21
CEO wa Man City atimkia Man United
‘Klabu’ ya #ManchesterUnited imemteua aliyekuwa CEO wa ‘klabu’ ya #ManCity, #OmarBerrada kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mpya katika ‘timu’ hiyo a...
17
Manchester City wapigwa marufuku kusheherekea ushindi
‘Winga’ wa #ManchesterCity Jack Grealish ameeleza kuwa ‘kocha’ wao Pep Guardiola amewapiga marufuku wachezaji wake kusheherekea ushindi wao kupita kias...
06
Man city yamshikila Kyle Walker
Manchester City wamuwekea 'ofa' nono mezani 'beki' wao Kyle Walker ili 'asaini' mkataba mpya wa kuendelea kusalia kwenye viunga hivyo ikiwa ni baada ya kusambaa kwa tetesi kwa...

Latest Post