Will Smith akimbiza kwenye mauzo ya filamu

Will Smith akimbiza kwenye mauzo ya filamu

Mwigizaji kutoka #Marekani ,. Will Smith ameripotiwa kupata maokoto mengi katika mauzo ya filamu zake mbalimbali anazozitoa huku filamu ya ‘Bad Boys’ ikiongoza kwa kuingiza mkwanja mrefu zaidi.

Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali nchini humo zimeelezwa kuwa #Smith ndiye mwigizaji pekee ambaye katika filamu zake nane kubwa kila moja imemuingizia dola 100 milioni sawa na Sh 260 bilioni tangu mwaka 1992.

Filamu ambazo zimemuingizia mapato ni kama #BadBoys: ikiingiza Bilioni. 367.7, Independence Day: Trilioni. 2.125, Men In Black: Trilioni. 1.532, Enemy Of The State: Biliopni. 651, Wild Wild West: Bilioni. 577.3, Men In Black 2: Trilioni. 1.146, Bad Boys 2: Bilioni. 710.6, I Robot: Bilioni. 918.1.

Shark Tale: Bilioni. 973.9, Hitch: Bilioni. 966.2, The Pursuit of Happiness: Bilioni . 798.2, I Am Legend: Trilioni. 1.521, Hancock: Trilioni. 1.612, Men In Black 3: Trilioni. 1.700, Bad Boys For Life: Trilioni. 1.105 na #Aladdin: Trilioni. 4.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags